+255 (0) 759 156 716 saintgabriel2017@gmail.com

St. Gabriel Technical Secondary School

"Solution for Technical challenges"

Logo
St. Gabriel Technical Secondary School
NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2027
27 August, 2026 3 months ago 27 Views General

TANGAZO KWA WAZAZI NA WALEZI WENYE WATOTO WA DARASA LA SABA

Mpendwa Mzazi/Mlezi,

ST. GABRIEL TECHNICAL SECONDARY SCHOOL inapenda kuwatangazia kuwa nafasi za kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa mwaka 2027 zinapatikana.

Shule inapokea wavulana na wasichana kutoka dini zote na inatoa elimu bora inayowaandaa wanafunzi kitaaluma, kitaaluma cha ufundi na kimaadili katika mazingira salama na rafiki kwa kujifunza.

Masomo ya Jumla yanayofundishwa ni:

Hisabati

Kiingereza

Kiswahili

Baiolojia

Kemia

Fizikia

Jiografia

Historia

Business Studies

Historia ya Tanzania na Maadili

Masomo ya Ufundi ni:

Electrical Installation

Technical Drawing

Engineering Science

Masonry and Bricklaying

Computer Application with CAD

Life Skills

Historia ya Tanzania na Maadili

Fomu za kujiunga zinapatikana katika:

Dodoma: ST. Gabriel Technical Secondary School, Veyula.

Dar es Salaam: St. Columba's Primary, Kipunguni Parish na Cannossa Pre & Primary School (Tegeta Parish).

Dodoma: St. Gemma Galgani Pre & Primary School (Kondoa na Dukani Jimboni).

Arusha: St. Gemma Pre & Primary School.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi: ???? 0656 236 798 / 0682 131 607 / 0759 156 716

???? Mahali: Jijini Dodoma, Parokia ya Veyula, Barabara ya Arusha.

ST. GABRIEL TECHNICAL SECONDARY SCHOOL

"Solution for Technical Challenge